pair in robes Jesuit School of Theology at Berkeley

Home > Karibu

Prospective Students

International Students

Current Students

Alumni & Friends

Our Programs

Our Faith

Our Faculty

Our Administration

Our Events

Our Publications


Karibu

Karibu kwenye Chuo cha Tauhidi cha Majesuiti (CTM). Chuo chetu kilicho Berkeley, California ni kitivo cha taaluma ya juu ya tauhidi. CTM ni Kitivo-Papa (Ecclesiastical Faculty) cha Kanisa Katoliki na pia ni mwanachama wa Kitivo-Muungano cha Tauhidi (KTM) cha ukumeni (ecumenical) na imani-mchanganyiko (interfaith). Tunawakaribisha wote wenye imani mbalimbali kuja kusoma nasi.

Tunafurahi kwamba umechukua wasaa kidogo kufahamu zaidi kuhusu chuo chetu. Ni matumaini yetu kuwa utaridhishwa na yale utakayoyagundua. Unaweza kuyapata maelezo zaidi kuhusu programu ya masomo, walimu, na maisha yetu chuoni. Kwenye mtandao huu, unaweza kutuma maombi ya kujiunga, au kuomba nakala za maelezo(requested information) zitumwe kwako. Kwa wanachuo wanaweza kuangalia kalenda ya mtiririko wa matukio na pia kusoma jarida la wiki hii. Ikiwa wewe ni mwanachuo wetu wa zamani, soma jarida mara kwa mara ili upate habari mpya, pia unaweza kuagiza nakala ya matokeo ya masomo yako.

Furahia kututafuta kwenye mtandao wetu. Wasiliana nasi.




Jesuit School of Theology at Berkeley
A member of the Graduate Theological Union
1735 Le Roy Avenue
Berkeley, CA 94709
800-824-0122
510-549-5000
For Prospective Students | For International Students
For Current Students | For Alumni & Friends
Our Programs | Our Faith | Our Faculty
Our Administration | Our Events | Our Publications

At a Glance | Contact Us | Visit Us | Site Map
Privacy Statement